Your Input is Valuable

  1. Eneo
    Other (please specify)
    0/750
  2. Ni mtoaji uduma gani ambaye umemwona kwa Miadi (rendez-vous) yako ya mwisho?
  3. Ulipata Miadi (rendez-vous) yako haraka kama ulivyo taka?
  4. Ulipata Miadi (rendez-vous) siku ya juma na wakati ulio utaka?
  5. Ulihisi unangojea sana kwenye chumba cha kusubiri kabla ya kuona mtoaji wako wa huduma ya afya?
  6. Je! unahisi dactori wako / mtoaji uduma anahelewa wasiwasi wako juu ya afya yako?
  7. Unafurahi na jinsi tunavyo kujulisha kuhusu uduma yako ya afya, matokeo(majibu) ya vipimo vyako, kujadili matunzo yako?
  8. Unafurahi na jinsi tunavyo kufundisha juu ya kuboresha afya yako na njia za kukaa na afya?
  9. Unafurahi na jinsi daktari wako / mtoaji uduma anavyo jumuhisha madaktari wengine na walezi katika huduma yako wakati inahitajika?
  10. Ninahisi Jericho road inajali zaidi afya yangu ya mwili
  11. Je! kunakitu tunaweza kufanya kukuhudumia bora?
    0/750